Kanisa Hai la Mungu

Kuhubiri Injili

Kanisa Hai la Mungu linaonyesho la kila wiki la televisheni, Tomorrow’s World, linaloonyeshwa katika nchi kadhaa duniani. Pia kuna maonyesho ya vipindi kwa lugha ya Kifaransa, Le Monde de Demain, na kwa lugha ya Kihispania, El Mundo de Mañana. Tuna chapisha pia magazeti katika lugha za Kingereza, Kihispania, Kifaransa na lugha nyingine nyingi.

Kupata kujua zaidi kuhusu maonyesho yetu ya televisheni na chapisho zetu, tazama https://www.tomorrowsworld.org

Copyright © 2009 Living Church of God
swahili.lcg.org